Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
kuna kipindi nilikuwa na mazoea ya kunywa hii wine na ilikokuwa inanipeleka ni kunitoa uhai. kun siku nilizinywa za kutosha. nilivyolala nikaamka saa 12 jioni kesho yake huku nikiwa na njaa kali sana. nikaenda kusaka supu na kurudi kudozi. ile nimezima taa nikawa naona nyotanyota kwenye giza na nikifumba macho naona nyotanyota. kumbe zile katuni zinaonaganyotanyota ni mambo ya kweli!. hapo mapigo ya moyo pia yapo irregular na najihisi kufakufa.
nawashauri wandugu msidanganyike na uwine wa dompo ni pombe kali sana 18%. ukinywa dompo moja ni sawa na kilimanjaro sita. pia ni fortified wine maana yake ni wine iliyochanganywa na pombe kali (spirit) sasa sijui kama kiwandani wana consintency katika uchanganyaji?.
wenu katika ulevi Red Giant.

Last edited by a moderator: