Christopher Wallace
JF-Expert Member
- Dec 8, 2015
- 1,479
- 3,788
Mdogo ake Manara unatamba sana, punguza mihemkoMakolo wameendelea kutuletea vituko, na sasa wameleta zungu la unga, Don Castro kama kocha mpya wa viungo. Hawa jamaa lugha inaweza ikaja kuwa kikwazo kwao ukizingatia Makolo wengi elimu ndogo.
View attachment 2011952
Yaani haya majina kama tunaangalia movie za kimexico huko za magenge ya madawa ya kulevyaPablo franco don castro
Yaani itakuwa balaa sipati picha. Pembeni kuna Pablo Lubadika huku kuna Don killerPablo anapoungana na don hilo collabo ni noma.Yaani Pablo mwenyewe ni don afu don mwenyewe ndo pablo.Naombeni utopolo yeyote ajirekodi voice note atamke haya maneno hapo juu afu ajisikilize.Naomba kuwasilisha.
Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
Kushoto kuna Don Nyati huku kati kuna Bongo Don,hatari sana hiii.Yaani itakuwa balaa sipati picha. Pembeni kuna Pablo Lubadika huku kuna Don killer
Nasikia formation analyst anaekuja anaitwa HitlerYaani itakuwa balaa sipati picha. Pembeni kuna Pablo Lubadika huku kuna Don killer