Don Clericuzio

Acha tu Mtani. Nkajua ntafuta machungu kwa Serengeti Boys kule nako nikaambulia machungu. πŸ™

Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka.

Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango.
 
Serengeti Boys wametuangusha, ahadi zote walizopewa zimeyeyuka.

Ila kama taifa inabidi tujitafakari, tunaongea sana bila mipango.
Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu.
 
Yah! Ni kweli kabisa Mtani inabidi tujitafakari mno sababu kama wale watoto kila kukicha wanazidi kuwa wabovu.

Mashindano yakiisha na wao ndo wameisha.

Hatuna academy za kuwapeleka ili waendelee hata mashindano mengine ya under 19 utakuta tunaanza kutafuta upya tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…