Don Nalimison asimamishiwa Mishahara na Serikali Halmashauri ya Jiji la Mwanza

Punguza hasira. Usipanic.

Jaribu kufuatilia ujue tatizo ni nini ?

Maana ukiacha kazi utapoteza MAFAO YAKO.

Subiri wenyewe kama watakupeleke TSD au vipi usikilizwe kama wataona wao WAKUFUKUZE KAZI na wakupe HAKI ZAKO.
 
Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha Hahaha huyu Jamaaa amejitoa muhanga kweli kweli
 
Siambatanishi chochoteeee na waletea barua kavu tu.
Wewe ukiwa Kama mtumishi wa umma unapaswa kutii mamlaka na kufwata sheria za utumishi wa umma zilizoko pia kwenye standing order Magufuli ana mapungufu yake ila kwa mwenendo wako nakusihi ufwatae sheria na taratibu za utumishi pamoja na utii kwa rais ambae ndio boss mkuu wa waajiriwa wote ndani ya jamhuri ya muungano wa Tanzania .
 
Mamlaka ya halmashauri naisihi Sana ikuchukulie kwa jicho la huruma na upole Magufuli ni binadamu na ana huruma mamlaka yake inaweza hata isikusumbue Ila walio chini wakakutingisha kulinda vibarua vyao.
 
Mazezeta tu.
 
Wewe ndio Huna utii kwangu, hujui kwamba Mimi ni zaidi ya Waziri kihadhi au kwasababu Sina cheo. Acha dharau.
 
Gereza sio kaburi
 
Acha hasira Kaka. Fuatilia tatizo ni nini usije ukafanya uamuzi wankukutoa machozi baadaye
 
Hauko serious ww, Kila kitu unakihusisha na siasa tu! Mimi ni ccm damu damu lakini sikupata pia mshahara, na hivyo kwa masikitiko makubwa sana serikali yangu na nchi yangu imekosa P.AY.E, Kodi nayokatwa kuchangia taifa langu Kila napolipwa mshahara!
Hivyo mleta maada acha kubwabwacha, wengine tuna hasira kwa kushindwa kulipa Kodi (PAYE) kwa akili ya kuipaisha nchi yetu kwenye uchumi wa juu kabisa ebo😑😑😑😑!
 
Vyeti feki ivyo mkuu wamekunyaka
 
Nimeangalia muundo wa kichwa chako nimegundua sio mzima huo mbonyeo wa kichwa ndio unaoleta hitilafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…