RODRIGUEZ NORIEGA DUERTET Member Joined Mar 26, 2018 Posts 72 Reaction score 59 Jul 27, 2020 #121 Bujibuji said: Kuna uzi hapa aliuweka haya ndio makosa aliyoshtakiwa nayo Don Nalimison nikiyaandika hapa ntapigwa life ban Kama ile Malaria Sugu alipigwa mwaka 2009 Tindikali pitia uzi huu. Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya Click to expand... Mimi nachojua mfanyakazi wa umma au private akipandishwa mahakamani na ikathibitika alitenda na akahukumiwa,hiyo ni tayari ameshajifukuzisha kazi
Bujibuji said: Kuna uzi hapa aliuweka haya ndio makosa aliyoshtakiwa nayo Don Nalimison nikiyaandika hapa ntapigwa life ban Kama ile Malaria Sugu alipigwa mwaka 2009 Tindikali pitia uzi huu. Mashitaka yaliyosababisha Don Nalimison kufungwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza ni haya Click to expand... Mimi nachojua mfanyakazi wa umma au private akipandishwa mahakamani na ikathibitika alitenda na akahukumiwa,hiyo ni tayari ameshajifukuzisha kazi