Don Nalimison looks for a girl to get marry

Civilian Coin

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2012
Posts
2,305
Reaction score
4,380
DON NALIMISON DESTINY

FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.

IMG_20200921_105032_638.jpg
 
Pia huna kazi ulifukuzwa ualimu.

Swali hela ya kula unapata wapi? Hela ya bando unapata wapi? Hela ya studio unapata wapi?

Jf members tumekuchunguza tumejua wewe ni AFISA KIPENYO+AFISA KIFICHO (Mzee wa tisss). Teh teh teh!
Kama Tiss ndo huwa wanaimba vile basi hakuna kitu kwenye ile idara..😂
 
DON NALIMISON DESTINY

FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.

View attachment 1575869

Mtemi! katika umri wako huo, unatakiwa uweke CV iliyojaa mali na vitega uchumi unavyomiliki! Sasa cha kushangaza umejaza I have't nyingiiii!!

Kwa hii CV yako ya I have't, unategemea kuna mtoto mzuri kweli atakubali awe mama Don Nalimison kweli!! Waambie unamiliki magari mangapi! Una nyumba ngapi! Una viwanda vingapi! Una mabaunsa wangapi wanakulinda! nk.
 
Aisee😀😀, nilitaka niende ila hizo Haven't zimenikimbiza
 
Back
Top Bottom