Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Kama Tiss ndo huwa wanaimba vile basi hakuna kitu kwenye ile idara..😂Pia huna kazi ulifukuzwa ualimu.
Swali hela ya kula unapata wapi? Hela ya bando unapata wapi? Hela ya studio unapata wapi?
Jf members tumekuchunguza tumejua wewe ni AFISA KIPENYO+AFISA KIFICHO (Mzee wa tisss). Teh teh teh!
idara nzima ya vipenyo Don Nalimison ndiyo star wao.Kama Tiss ndo huwa wanaimba vile basi hakuna kitu kwenye ile idara..😂
🤣🤣🤣idara nzima ya vipenyo Don Nalimison ndiyo star wao.
DON NALIMISON DESTINY
FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.
View attachment 1575869
Note word I HAVEN'T!haya wadada wa JF changamkieni fursa hii kijana mbichi kabisa
I haven't or i don't have...?DON NALIMISON DESTINY
FACT: Iam 40 years, I haven't wife, I haven't girlfriend, I haven't Children, I haven't Marriage, I haven't house, Iam Single, Unmarried.
View attachment 1575869
Aisee😀😀, nilitaka niende ila hizo Haven't zimenikimbizaMtemi! katika umri wako huo, unatakiwa uweke CV iliyojaa mali na vitega uchumi unavyomiliki! Sasa cha kushangaza umejaza I have't nyingiiii!!
Kwa hii CV yako ya I have't, unategemea kuna mtoto mzuri kweli atakubali awe mama Don Nalimison kweli!! Waambie unamiliki magari mangapi! Una nyumba ngapi! Una viwanda vingapi! Una mabaunsa wangapi wanakulinda! nk.
Thubutuuuuhaya wadada wa JF changamkieni fursa hii kijana mbichi kabisa
I’m takenhaya wadada wa JF changamkieni fursa hii kijana mbichi kabisa
I will never haveNote word I HAVEN'T!