nilisoma hata hukumu ya said mwamindi yule mzee aliyemuua aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Iringa dk kleruu, ni kwamba yule mzee alikuwa na tatizo la ki akili miaka ya nyuma na akatibiwa kienyeji na maakama ilikubali ni kweli yule mzee alikuwa anaumwa akili
lakini cha kushangaza mahakama ilimuita tu dk akatoa maoni yake bila kumpima mshtakiwa akili kama kweli alipona,na mwisho wakamuhukumu kifo