Sijaisikiza ngoja nizame YouTube mkuuBaadhi kama its too late to love me now na just because I'm a woman nilishazisikiliza mkuu,ila hizo nyingine nitazitafuta nizipitie pia.
Kuna kolabo mpya ya Kenny na Dolly inaitwa we can't make old friends,dah hawa watu wanajua sanaaaaaa! Nadhani baada ya island in the stream na we got tonight, inafuata hii kwa ubora.
Who do you think you are what do yo think this is. The best woman wins I will fight to the end... May the best woman woman winKwenye hiyo album pia kuna nyimbo moja kali sana inaitwa the best woman win,dolly ni balaa haswaa,sijaona queen wa country zaidi yake
Who do you think you are what do yo think this is. The best woman wins I will fight to the end... May the best woman woman win
I will Neve r give up or give in May the best woman win
Naufaham Sana mkuu
Ana kibao chake cha Is Anybody going to San Antonie...nakikubali sana.Huyu jamaa nae yupo vizuri sana kwenye Mziki wa country.Watu wengi wamekuwa wakihusisha Country music na white Americans only ila kuna jamaa anaitwa Charley Pride huyu jamaa ni mmarekani mweusi Legend himself wa pure & traditional country music
Huyu mzee nampenda sana ukisikiliza nyimbo zake utaelewa ninachokisema ,He had the cool & gentle voice that I had never heard of before .
Hivi juzi kati kapewa tuzo ya heshima ya Grammy
Wagoner yupo vizuri sana.Ndio aliyemtoa Dolly Parton na kumtambulisha kwenye game.dah loovee love love love on role. Kenny Rodgers naye mshenzi kanipigia the gambler, coward of the county Na ile Blockbuster waliyoshirikiana Na Dolly island good just bless them.
Je ushasikiza hizi nyimbo za Dolly Parton Na Porter Wagoner Kama bado please sikiliza available I you tube
If you go Al follow you
Together you and I
Tomorrow is forever
How could I cross your minute
pain of loving you
Just because am a woman
If tear drops were pennies
Lost forever in your kiss
It's too late to love me now
You are the last thing on my mind
Dolly Parton naye mshez
Copenhagen DN wanaume wengine hao hapo. Vyombo viwili tu vimetumika hapo. Hizo ni nyimbo from Rio Bravo movie, ambayo ningekushauri uiangalie December hii. Ni movie ya mwaka 1959.
Cc Malcom Lumumba
thanks mkuu nitazikalia chini nakukurudishia mrejeshoCopenhagen DN wanaume wengine hao hapo. Vyombo viwili tu vimetumika hapo. Hizo ni nyimbo from Rio Bravo movie, ambayo ningekushauri uiangalie December hii. Ni movie ya mwaka 1959.
Cc Malcom Lumumba
Aliimba pia if tomorrow never comesMkuu kuna huyu jamaa anaitwa John Cash ( Man in black) ni balaaaa sna pia
Jamaa fundi sana kwenye country music, nimeoenda anapimwambia demu sikiliza kwa redio kile inasema ndio nilichotka kukwambia dah sio domo zege ila ujumbe umefika kwa njia ya redioListen to the radio..... my favourite!!?
Dah jamaa amevunja sana kwenye hii ngoma,"Crying in the rain",humu kaua haswa huyu dingi ten
Some time inabidi kufunguka tu hata kama mtoto ni wakishua kivip, yan jamaa ana nyimbo zenye ujumbe mzito kweliSenorita