Donald Dombo Ngoma amesaini mkataba mpya wa miaka miwili Yanga SC

Wachoma jezi FC bhana.. Kwani ni mchezaji mpya huyo wakumshangilia? Si alikuwepo na majeruhi yake.. [emoji16] [emoji16] [emoji16] shubamit.!!

bibie acha roho mbaya kama ila ya kapa
 
Habari kubwa iliyonifikia hivi punde ni kwamba striker Donald Ngoma anatarajiwa kusaini mda wowote katika Club kubwa ya Simba.

Inasemekana Ngoma yupo katika mazungumzo ya mwisho na tajiri kijana Mohammed Dewji,na mda wowote atamwaga sahihi


kweli pole yetu. nilikua namtamani sana atue Msimbazi.

Zile million 180 zimeisha wapi?
Zaidi ya nusu zilikuwa zao wapiga dili. Mo afike mahali astuke!

He who laughs last.....
 
NGOMA ni mchezaji wenu wana Yanga African. mnashangilia kama mchezaji bora kama level za Okwi . Sisi Ngoma anahusiana na nn kwenye chama letu? Msimu mzima kacheza mzunguko wa kwanza tu.
 
Kwa nini mnalikwepa jina lenu, "wamatopeni" ni jina tulilowapa Yanga wakati huo kutokana na uwanja wao wa kaunda kujaa maji.
Wee jamaa ni mgen au mshamba sana na soka la Tanzania.
Matopeni imetokana na kauli ya Muro kuwa Simba wanacheza soka la ndani(mchangani) hii in kutokana na kutoshiriki michuano ya kimataifa kwa misimu kadhaa mfululizo. Jina hilo likawa advanced to matopeni na huyo huyo Muro
 
NGOMA ni mchezaji wenu wana Yanga African. mnashangilia kama mchezaji bora kama level za Okwi . Sisi Ngoma anahusiana na nn kwenye chama letu? Msimu mzima kacheza mzunguko wa kwanza tu.
Tuliambiwa mmewasajili Ngoma na Niyonzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…