Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Basi Polokwane watapigwa faini ya kumsajili mchezaji ambaye ana mkataba na timu ingine!Huyo atakuwa amesaini timu zote mbili.
Polokwane fc wameshatangaza kuwa ni mchezaji wao.
Unaamini habari za kuuzia magazeti mkuu?Mbona yeye na Niyonzima wanaonekana kwenye 'kikosi cha mauaji' cha Mnyama cha 2017/18?
Unaamini habari za kuuzia magazeti mkuu?
Simba wamewatajirisha wamiliki wa magazeti ktk msimu huu wa usajili.
Wakiona picha ya Niyonzima na Ngoma ktk uzi mwekundu wanachanganyikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli...
Chama kubwa Yanga SC.Hii ndio Yanga,daima huwa tunajua namna ya kumaliza mchezo.
Simba huwa wanaanza na tambo nyingi sana,lakini mwishoni Bingwa ni Yanga.
Sio ktk ligi kuu pekee,hadi ktk usajili,
Naipenda Yanga.
Halafu unashangaa kusoma waandishi wa magazeti hayo wakiwataka wachezaji kuwa makini kipindi hicho cha usajili, kumbe wao wenyewe hawako makini - wanaandika kila wanachokisikia bila ya kusikiliza upande mwengine au angalau kutumia akili (wachilia mbali taaluma) yao. Chukua hili la wao kuandika eti Ngoma amesaini Pokwane ya Afrika ya Kusini. Gazeti gani makini lisingejua kuwa mchezaji akiwa na mkataba hata wa siku moja hawezi kusajiliwa na timu nyengine? Halafu wanawasema wachezaji kwamba wakitajiwa fedha kipindi hiki cha usajili huwa hawazingatii hatima. Kumbe magazeti yenyewe na waandishi wao ndio wasiozingatia zaidi hatima kwenye kipindi cha usajili. Gazeti na mwandishi wake anayezingatia hatima ataandikaje habari zinazokuja kuwasuta muda mfupi baadaye, kama hii habari ya Ngoma?Unaamini habari za kuuzia magazeti mkuu?
Simba wamewatajirisha wamiliki wa magazeti ktk msimu huu wa usajili.
Wakiona picha ya Niyonzima na Ngoma ktk uzi mwekundu wanachanganyikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
wananunua magazeti matatu matatu mwisho wa siku Yanga mbele nyuma mwikoUnaamini habari za kuuzia magazeti mkuu?
Simba wamewatajirisha wamiliki wa magazeti ktk msimu huu wa usajili.
Wakiona picha ya Niyonzima na Ngoma ktk uzi mwekundu wanachanganyikiwa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe tupo pamoja mkuu safi sana JoseverestGood news kwa Yanga yetu...
Wamatopeni pole yenu
Mkataba wa Ngoma unaisha Juni 30, 2017 ambayo ni kesho. Kama Polokwane wamemsainisha mkataba kabla ya hapo hiyo ni habari njema kwa Yanga kujipatia 'mchele' usio na 'kichuya' hata kidogo.Huyo atakuwa amesaini timu zote mbili.
Polokwane fc wameshatangaza kuwa ni mchezaji wao.
Akili za kuambiwa changanya na zako!!!πππππππSasa ukweli uko wapi SA au Yanga
ok okJiheshimu.. Si Jinsia yangu angalia sana mkuu.
Pole sana. Ili usipate magonjwa yasiyoambukizwa kama Pressure et al., unashauriwa kuwa flexible, usiwe rigid.Sitakaa niyaamin magazeti ya tanzania wala kuyasoma maana ni full uongo juz walitwambia polokwane ya south africa amesain miaka mitatu leo tena amesain yanga sjui ni uharo gan huu mnaouleta
Yeah mkuuKumbe tupo pamoja mkuu safi sana Joseverest
Swala ni kwamba aliwaua kukata pumzi sisi halituhusu!!!!Yuleyule aliye kata pumzi mzunguko wa pili wa VPL?