TB Joshua ni mjasiriamali tu.Ngoma ameshapona baada ya Maombezi ya Nabii TB Joshua huko Nigeria.
Mtamuona atakavyo anza kutiririka uwanjani hivi karibuni na Azam Sports Club.
Yesu huwa anaponya kabisa kabisa.
Tusubiri kuona Ngoma atapona au la.TB Joshua ni mjasiriamali tu.
imani ndio huponya achana na suala la ujasiriamaliTB Joshua ni mjasiriamali tu.
Hawa wanigeria unasikia au unawajua?Tusubiri kuona Ngoma atapona au la.
Akipona uje ufute kauli yako hiyo hapa hapa.
Ngoma hajacheza mda mrefu sana sababu ya kuwa majeruhi, tokea akiwa Yanga fc.
Hadi sasa ambapo hajaenda na timu yake ya Azam huko Uganda kwenye maandaliI ya Ligi.
Mimi nakuhakikishia baada ya haya Maombezi, Ngoma atakuwa fiti kabisa na kama kocha ataamua kumtumia basi atakuwepo kwenye mechi ya kwanza ya Ligi.
Let's Wait and See.
Tukutane hapahapa usikimbie.
Tusubiri mkuuHawa wanigeria unasikia au unawajua?
Mkuu UlimakafuHawa wanigeria unasikia au unawajua?
Anayeponya sio wachungaji wenye upako, bali ni Masihi Yesu Kristo.kama ni kwa TB Joshua for sure bado hajapona, angeenda kwa wachungaji wenye upako na siyo kwa wa janja janja!
Wakuu sana..Miaka kama 4 nyuma mzee mmoja au mbaba alikuwa anatupigia story na yeye ni mshabiki wa yanga sana ,alisema frank domayo alivyotua yanga wazee walimpa baraka nyingi ndio maana akawa anang'ara sana ila alivyoanza kuleta kiburi na kulazimisha kuondoka kwenda Azam ,mzee mmoja akaenda kumpangusa goti na kumuambia haya nenda huko Azam tokea hapo Domayo akawa haishiwi na matatizo ya goti na kapotea
Bwana Ngoma namshauri rudi kwa wazee wa yanga uombe radhi na upewe baraka huko kwa Tb Joshua unapoteza muda
Hujachelewa rudi uwaombe radhi wazee wa yanga jifanye mjinga na outcome yake utaniambia sisi hizi vilabu tunavijua
View attachment 815992
Hahaahaaa. Ngoja nikasome nielewe kisha nakuja kukujibu mtani.Wakuu sana..
Sibonike Hajar Guasa Amboni Belo kyata Ulimakafu Turnkey Prince Kunta Kichwa Kichafu kichaa msafi na ndugu zenu...
Hivi kwanini hili litimu lenu linaendekeza haya maushirikina?
Sent using Jamii Forums mobile app