MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Unajua Donald Trump alikuwa na madhaifu yake na unaweza kumpuuza, lakini huwezi kupuuza uwezo wake wa kuangalia mambo kwa mapana. Utawala wake ulikuwa ni tofauti kabisa na watu walivyotegemea, ambapo tulidhani inaweza kutokea vita kubwa lakini haikutokea.
Kwenye hii video alikuwa anazungumza na Jens Stoltenberg kwamba, kwanini waliruhusu Nord Stream 2 ijengwe ilhali wanafahamu fika kwamba Urusi ni taifa hasimu. Alivyoongea haya mwaka 2018 wengi walibeza sana, lakini uhalisia wake umekuja kudhihirika mwaka 2022.