MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hili laweza kuwa mojawapo katika mengi....Na hilo ndilo tatizo kubwa kwa kinachoendelea kwa sasa... Huu mzozo ni kiini macho tu
Lakini lina maana kubwa mpaka leo hii.Hili lilitokea miaka 3 iliyopita
Nimetambua kadiri siku zinavyokwenda mbele, wanadamu tunazidi kupata maarifa mengi sana, huku uelewa na uwezo wetu wa kufikiri unapungua kwa kiwango kikubwa. Tunafahamu mambo mengi sana kichwani, lakini hatuwezi kutambua na kung'amua. Kuna hatari kubwa sana huko mbeleni,...Humu duniani kuna binadamu wanaoitwa wachafuzi wa hali ya hewa.........hao hupuuzwa na kuchukiwa kupewa AIRTIME kwa kuwa huwa wanaongea UKWELI USIOPENDWA.....
Pamoja na MAPUNGUFU yake ila mh.Rais TRUMP anabaki kuwa ni mmoja wao.......
Siempre El Comandante Putin👍
#Siempre JMT🙏
Huu mgogoro wanamtafuta putin kwa hali na mali... Lakini pia putin yupo na tahadhari kubwa mno... NATO/USA inachofanya kwasasa ni kuwapa pressure warusi ili wapingane na rais wao... Kitu ambacho ukiangalia kwa undani hawawezi fanikiwa... NATO haingii vitani hadi aone Marekani katia guu hapo...Huu mgogoro huenda ndio mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi......ila itategemea athari za vikwazo na kutengwa kwa Urusi zitakavyoiathiri nchi yake.
Akisalimika bila misukosuko huenda akageuka 'Stalin' wa karne ya 21.
Kwa malengo makubwa ya URUSI haitokuwa rahisi kwa mfumo wa Putin kutoendelea kutamalaki hata asipokuwepo yeye....Huu mgogoro huenda ndio mwanzo wa anguko la Putin kwenye siasa za Urusi......ila itategemea athari za vikwazo na kutengwa kwa Urusi zitakavyoiathiri nchi yake.
Akisalimika bila misukosuko huenda akageuka 'Stalin' wa karne ya 21.
Hakika.....Huu mgogoro wanamtafuta putin kwa hali na mali... Lakini pia putin yupo na tahadhari kubwa mno... NATO/USA inachofanya kwasasa ni kuwapa pressure warusi ili wapingane na rais wao... Kitu ambacho ukiangalia kwa undani hawawezi fanikiwa... NATO haingii vitani hadi aone Marekani katia guu hapo...
Ukraine inaenda kuanguka.