Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Msako wa Elon Musk na bwana Donald kwenye mifumo ya bajeti na fedha huko Marekani unaendelea kushika kasi.
Hivi karibuni Elon Musk amepewa mamlaka na Donald Trump chini ya Wizara mpya ya Ufanisi Wa Serikali kusimamia na kudhibiti mifumo ya ugawanyaji fedha ya serikali.
Hivyo, ni kwamba Elon Musk ana uwezo sasa wa kuona jinsi pesa ya Wamarekani na kudhibiti kabisa pesa ya serikali isiende kwenye baadhi ya miradi hata kama imedhinishwa na bunge la Marekani.
Elon kwa sasa ana uwezo wa kusema pesa fulani iruhusiwe kwenda mradi fulani au isiende na kuamua nani anafaa kulipwa na serikali ya Marekani au vice versa.
Wizara hiyo ya Ufanisi ina lengo la kupunguza matumizi mabaya ya serikali ya Marekani
Kwa mujibu wa gazeti la New York Times, baadhi ya watu wa Wizara ndio wameruhusiwa kuona na kusimamia mfumo huo ambapo pia baadhi ya watu ndani ya Wizara ya Fedha ya Marekani wameonekana kutopendezwa na mamlaka anayopewa Elon Musk ndani ya serikali ya Marekani.
==================================================================
The Elon Musk-led Department of Government Efficiency (DOGE) reportedly has access to the system that disburses money on behalf of the federal government, having been given that access by Treasury Secretary Scott Bessent.
This access to the federal payment system provides DOGE with a tool that can be used to monitor and limit government spending, including the ability to restrict the disbursement of money approved by Congress, The New York Times reported Saturday (Feb. 2), citing unnamed sources.
A top Treasury Department official, David Lebryk, had resisted allowing DOGE to access the system, according to the report. Lebryk was put on leave and then retired Friday (Jan. 31).
The members of the DOGE team who were given access to the system were made Treasury employees, passed government background checks and obtained security clearances, per the report. Treasury Department attorneys approved the granting of access.
DOGE’s gaining of access to the system is meant to support its mission of reducing government spending and to allow scrutiny of improper payments, according to the report.
Teams associated with DOGE are also seeking access to other federal agencies’ data and systems, per the report.