Donald Trump amempa Elon Musk mamlaka ya kudhibiti mifumo ya malipo ya Wizara ya Fedha ya Marekani, akimruhusu kuona na kusimamia matumizi ya kodi

Wabongo utawaweza ukiitaja israel na usa utapewa sifa za kipekee ila ukija kwa uhalisia hukion kinachozungumziawa .. siku usa itakapopotea udhibit wa dolla yake itapaki kama taifa la dunia ya tatu
Trump amewavua nguo na Propaganda zao.
 
Siasa ni ujinga sana baada ya miaka 4 akishinda kiongozi wa Democratic ataondoa hicho kitengo ambacho Trump amempa Musk kama asante kwa kumpigania kwenye kampeni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…