johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
π€£π€£π€£π€£We mwenyewe ushakuwa chawa wa huyo mtoto wa elon huoni unampigia chapuo!, zwazwa kweli wewe!.
Una katwa na mizimuMimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.
Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
Unataka kumpindua Samia.Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.
Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
Hakuna wa kumpindua Mama yetu Madarakani. maana Mama ni Mpango wa Mungu MwenyeweUnataka kumpindua Samia.
Safi sana nimeshituka na kububujikwa na machozi ya huzuni namna ulivyosema.Hakuna wa kumpindua Mama yetu Madarakani. maana Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.
Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.
Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
Kasikilize wimbo wa Bob Marley wa "Emancipation"! Kidooogo unasema hivi;Wakati hapa Tanzania hadi Watoto wa Viongozi wametengenezwa kuwa Machawa wenzetu huko mbele mambo ni tofauti Kabisa
Chukulia mfano mdogo tu wa mtoto wa Elon Musk aitwaye X na CHAWA Mkuu wa Tanganyika hapa jamvini Mh Lucas Mwashambwa utagundua Tanzania tunaishi kwenye Giza
Sijajua tukimpeleka Lucas Mwashambwa ofisini Kwa Rais Trump atapewa Sifa gani ila ninachojua Uchawa ni Utumwa wa kisasa
Ahsanteni sana π
Unakuta mtoto wa Waziri kawekezwa kwenye chipukizi ππKasikilize wimbo wa Bob Marley wa "Emancipation"! Kidooogo unasema hivi;
"Emancipate from your menta slavery.......!"
Na baadae anakuwa Mbunge wako na Waziri wako!Unakuta mtoto wa Waziri kawekezwa kwenye chipukizi ππ
Hiyo Dunia haitakuwepo tena ππNa baadae anakuwa Mbunge wako na Waziri wako!
Kazi ipoHakuna wa kumpindua Mama yetu Madarakani. maana Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe
Acha uzwazwa weweeWe mwenyewe ushakuwa chawa wa huyo mtoto wa elon huoni unampigia chapuo!, zwazwa kweli wewe!.
Wale akina Isack Mwigulu?Hata sisi kuna wale watoto walioshinda CCM Chipukizi watakuja kuwa watu wakubwa Tanzania