Donald Trump ampa maua mtoto wa Elon Musk. Asema ana IQ kubwa sana

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Wakati hapa Tanzania hadi Watoto wa Viongozi wametengenezwa kuwa Machawa wenzetu huko mbele mambo ni tofauti Kabisa

Chukulia mfano mdogo tu wa mtoto wa Elon Musk aitwaye X na CHAWA Mkuu wa Tanganyika hapa jamvini Mh Lucas Mwashambwa utagundua Tanzania tunaishi kwenye Giza

Sijajua tukimpeleka Lucas Mwashambwa ofisini Kwa Rais Trump atapewa Sifa gani ila ninachojua Uchawa ni Utumwa wa kisasa

Ahsanteni sana 😄
 
Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.

Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
 
Una katwa na mizimu
 
Unataka kumpindua Samia.
 
Vipi mkuu huko white house kienglish kinapanda au tutaongea kinyakyusa
Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.

Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
 
Mimi nikipewa nafasi kutoa hotuba Whitehouse Marekani ni lazima Wamarekani watabubujikwa na machozi ya Furaha na kuniomba niwaongoze Kama Rais wao.

Mitaani kwetu tu kwenyewe nikianzaga kuongea watu hawataki niache .Maana muda wote naongea hoja nzito nzito tu zinazowagusa na kuwabubujisha machozi ya Furaha. Inafikia wakati wanatamani niwe Kiongozi wao. Ogopa sana mtu unazungumza mpaka watu wanaacha shughuli zao na kuanza kukusikiliza wewe tu Utafikiri umewateka.
1000022341.gif
 
Wakati hapa Tanzania hadi Watoto wa Viongozi wametengenezwa kuwa Machawa wenzetu huko mbele mambo ni tofauti Kabisa

Chukulia mfano mdogo tu wa mtoto wa Elon Musk aitwaye X na CHAWA Mkuu wa Tanganyika hapa jamvini Mh Lucas Mwashambwa utagundua Tanzania tunaishi kwenye Giza

Sijajua tukimpeleka Lucas Mwashambwa ofisini Kwa Rais Trump atapewa Sifa gani ila ninachojua Uchawa ni Utumwa wa kisasa

Ahsanteni sana 😄
Kasikilize wimbo wa Bob Marley wa "Emancipation"! Kidooogo unasema hivi;
"Emancipate from your menta slavery.......!"
 
Back
Top Bottom