SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Mmeona ruto kaomba msamaha kwa raia wake kui dis tanzania, kwa hiyo mnataka na huyu wetu aombe msamaha kwa kuwa dis raia wa kenya kwamba kwao wamepavuruga? Mjue ruto anajua kuna nguvu katika kuomba msamaha. Hawa wengine sijui kama wanajua nguvu ya kuomba msamaha
 
Wakenya walopokaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…