SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hiyo ni deepfake
Matokeo ya akili mnemba iliyo strong

AI inastudy matamshi ya maneno na sauti ya utamkaji, then inapewa maneno iyatamke kwa sura ya msemaji halisi.
 
Imekaa vzr MNO!! Hii ndio changamoto ya ushangingi.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ
AI Voice
 
Wakenya bwana! Wameamua kumlisha maneno Mzee Trump.

Pamoja na editing mbovu, kwanza mmekosea, Wazungu hawatamki neno Tanzania namna hiyo.
 
Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ
MBONA IMESHAISHA HII RUTO KISHAOMBA SAMAHANI KWAHIYO HAINA HAJA TENA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…