SI KWELI Donald Trump amtaka Rais Samia kuiomba msamaha Kenya

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Trump katoa masaa 24 kwa rais wa TZ mama samia kuomba msamaha kwa kenya na kasema hapendi mtu anaechezea kenya na asipo fanya ivyo ata sitisha misaada yote marekani anayo saidia TZ
This is what vijana wetu nchi jirani are good at….
 
Aisee Mleta hii habari bora ubaki kwenye kupost habari za mapishi tu. Ulichopost hapa ni takataka 😏
 
Hii cheking haijaisja tu, kitu live hiki jmn.
 
Sina hakika kama Trump anaijua Tanzania.Kama angekuwa anaijua angemkaribisha Maza Oval office.
Nadhani anaiona ni Shithole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…