Donald Trump amualika Benjamin Netanyahau Ikulu ya White House. Vita ya Gaza inaelekea kuishia?

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili.

Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano uliositisha vita vya miezi 15 Gaza.

Wawili hao walikutana mwaka jana kwa mara ya kwanza baada ya miaka karibu minne katika makazi ya Trump huko Mar-a-Lago, Florida.

Ben Net.png

=====================================================

President Donald Trump has invited Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to the White House next week as the first foreign leader to visit in Trump's second term, Netanhayu and the White House said Tuesday.

The announcement came as the United States pressures Israel and Hamas to continue a ceasefire that has paused a devastating 15-month war in Gaza. Talks about the ceasefire's more difficult second phase, which aims to end the war, begin next Monday.

The White House letter shared by Netanyahu's office, dated Tuesday, said “I look forward to discussing how we can bring peace to Israel and its neighbors, and efforts to counter our shared adversaries.

”The meeting on Feb. 4 is a chance for Netanyahu, under pressure at home, to remind the world of the support he has received from Trump over the years, and to defend Israel's conduct of the war. Last year, the two men met face-to-face for the first time in nearly four years at Trump’s Florida Mar-a-Lago estate"
 
Omba omba huyo Netanyuhlu ...Wanaenda kuambia wataendelea kupata misaada .
 
Jihadists wanafiki wakubwa. Ombaomba ya nchi yenu hamuoni mnaona ya wengine tu. Safari hii muache kabisa ngono zembe, ukimwi utawaua na dawa za bure sasa hamtapata.
 
Muwe mnafatilia masuala mbalimbali na sio kushinda tu kwenye page za kutafuta Malaya halafu mnashindwa kudadavua vitu vidogo vya wazi.
US na Israel ni kitu kimoja. Ni majina tu ya nchi, lakini serikali zao zinaongea kitu kimoja.

Juzi Trump alitoa suggestion Egypt na Jordan wawachukua wapalestina waliobaki Gaza.

Lakini pia ukumbuke Trump ndio Rais wa kwanza kuutambua Jerusalem kama mji kuu wa Israel. Lakini bado Jerusalem iko share kati ya Israel na Palestine. Kuna maana kubwa kwao kuupata mji wote kuwa makao makuu yao na kufura uhusika wa Palestina katika mji huo wenye sehemu za kihistoria za Wailling Wall, The Dome of the Rock na Msikiti wa Aqsa.
 
Rais Donald Trump amemualika Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, kutembelea Ikulu ya White House wiki ijayo, ikiwa ni ziara ya kwanza ya kiongozi wa kigeni katika muhula wake wa pili.

Ziara hii inakuja wakati Marekani inashinikiza Israel na Hamas kuendeleza usitishaji mapigano uliositisha vita vya miezi 15 Gaza.

Wawili hao walikutana mwaka jana kwa mara ya kwanza baada ya miaka karibu minne katika makazi ya Trump huko Mar-a-Lago, Florida.

View attachment 3217350

=====================================================

President Donald Trump has invited Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu to the White House next week as the first foreign leader to visit in Trump's second term, Netanhayu and the White House said Tuesday.

The announcement came as the United States pressures Israel and Hamas to continue a ceasefire that has paused a devastating 15-month war in Gaza. Talks about the ceasefire's more difficult second phase, which aims to end the war, begin next Monday.

The White House letter shared by Netanyahu's office, dated Tuesday, said “I look forward to discussing how we can bring peace to Israel and its neighbors, and efforts to counter our shared adversaries.

”The meeting on Feb. 4 is a chance for Netanyahu, under pressure at home, to remind the world of the support he has received from Trump over the years, and to defend Israel's conduct of the war. Last year, the two men met face-to-face for the first time in nearly four years at Trump’s Florida Mar-a-Lago estate"
Huyu kenge ana warrant ya kukamatwa na kusweka huko ICC kwa mauaji ya kimbari
 
Kwamba na wewe kabisa una amini kuna nchi hapa duniani inaweza kumkamata waziri mkuu yeyote wa Israeli? Achilia mbali Netanyahu (Bibi ), au Putin? Don't kid yourself bro, ICC is a toothless Lion or it is only working for poor countries like African countries. Nina hakila ICC hata rais wa SA tu hawana jeuri ya kumkamata. Netanyahu hadi anakwenda kaburini, hakuna mahakama yenye inaweza kumkamata, mahakama zitabaki kulalamika tu
 
Back
Top Bottom