Donald Trump atoa hotuba ya mwisho kama Rais, autakia mafanikio mema utawala wa Biden

Biden haijui marekan???🙄
 
Aliwadanganya Wamarekani Corona imedhibitwa mwaka mmoja baadaye watu 400,000+ wamepoteza kwa sababu ya hiyo Corona.
Amefeli wapi? na aliyefaulu kuliko wote ni nani?
 
Biden hawezi kuweka lockdown yoyote, hiyo ni mamlaka ya majimbo,usikariri kama Kasuku.
 
Mi nimemkubali mawigi pale aliposema "have a good Life we Will see you Sion!"
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…