Hawezi kukujibu. Anajua ya wamarekani kuliko ya jamii yake mwenyewe. Alafu cha ajabu anaongelea clinton ambaye ni raisi mbaguzi namba moja kuwahi kutokea kwenye historia ya marekani. Bila shaka anasikiliza cnn afu anakuja kutu troll
Anaropoka tu kama mgonjwa wa akili, Rais alietalawala kwa muda mchache, Rais aliewabagua BlackAmerica, ww mmatumbi ata kama unamshobokea still anakuona shithole