Donald Trump declares war on LGBTQ

Donald Trump declares war on LGBTQ

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

HAKIKA Donald Trump ni mtumishi wa Mungu aliye juu,

Hivi Leo ametangaza vita na Taasisi zote zinazojuhusisha na kubadili JINSIA Kwa wamarekani akidai hii ni kinyume na mapenzi ya Mungu.

Amedai kuwa, ilifika time mzazi aliweza kubadili JINSIA ya mtoto wake wa kumzaa bila hata kujadiliana na mzazi mwenzie, Sheria ziliruhusu UOVU huo.

Sasa ameapa kupeleka msaada haraka bungeni Ili kuzifuta na kumtangaza adhabu Kali Kwa madaktari wataoshiriki UOVU huo, amedai chama chake kina wabunge wengi sasa hivyo wajiandae.

Mungu Mbariki Donald Trump.

Ameen

Source: Times of India Utube channel.
 
Utawala wa Mungu u juu ya tawala za WANADAMU kupitia watumishi wake Marais wacha Mungu akiwemo Nabii Donald trump.
 
Back
Top Bottom