Donald Trump: I Will Lock Mugabe, Museveni in Prison

Status
Not open for further replies.
Ya Waafrica wawaachie Waafrica,
Huyo Trump ni rais wa Marekani sio rais wa Dunia,
Aangalie kwanza familia yake(Marekani) sio kuingilia familia za wenzake,
Huo ni umbea na ushakunaku kama sio ushankupe.
 

Somji Juma,
Don't know what you're talking man.
Marekani tayari imeshaweka msimamo kuhusu Kagame kwamba haitaki kusikia habari yake ya kuongeza kipindi cha awamu ya 3 ya miaka 7. Kwa akili yako unafikiri Marekani ana maslahi gani kwa Rwanda?Marekani ikisema Trump hawezi kusema kinyume chake. Hata hilo la Kabila Wamerekani wanalifuatilia kwa karibu.

Waafrika na hasa viongozi wa Kiafrika ni wapuuzi sana. Kila siku wanaruka na ndege kwenda Marekani kuomba misaada ya mamilioni ya Dolari lakini wanapoaambiwa kuhusu Utawala wa Sheria na Demokrasia ya kweli wanaruka kimanga. Huu ni uzezeta na lazima upigwe vita.
Haiwezekani nchi ina watu milioni kati ya 5-30 lakini unashangaa KIBABU KIMOJA kinang'ang'ania kutawala nchi hiyo kana kwamba hakuna Wananchi wengine wenye uwezo wa kuongoza.

Huu ni ulimbukeni na tamaa ya madaraka. Lakini pia siri nyingine kubwa inayowafanya Viongozi/Marais wa Kiafrika kung'ang'ana kwenye Utawala ni MADUDU wanayofanya wakiwa ofisini hasa UFISADI na KUWAUA WAPINZANI WAO KISIASA na hivo kupelekea kuogopa kubanwa wanapotoka madarakani.

Kama unataka kujua upuuzi na ujinga wa Nchi za Kiafrika angalia the way they're handling Burundi issue, ni usanii mtupu. Nkurunzinza hataki majeshi ya AU(Umoja wa Afrika) yapelekwe nchini kwake ili kurejesha amani na wamemkubalia. Badala yake wanasema mgogoro huo umalizwe kwa mazungumzo ya mezani na mpatanishi ni Museveni!!!Museveni mwenyewe ni king'ang'anizi hataki kuachia madaraka. Anachofanya Nkurunzinza nchini Burundi ndicho anachofanya Museveni Uganda, ndicho anachofanya Kagame wa Rwanda, ndicho anachofanya Mugabe wa Zimbabwe, ndicho anachofanya Omar Bashir wa SUdan na ndicho inachofanya CCM Tanzania, kutawala kwa lazima whether Wananchi wanataka au hawataki!!

Sasa Marekani inapopiga kelele kuhusu huu ukiukwaji wa Demokrasia na misingi mizima ya Haki za Binadamu watu wenye low thinking capacity wanaona Marekani ni wababe lakini wakti huohuo wanataka misaada ya Mmarekani. Nonsense.
 
By Christopher Murenga
HARARE, ZIMBABWE. Barely a
week after American tycoon and
Republican Presidential hopeful
Donald Trump threatened to arrest
and imprison Ugandan President
Yoweri Museveni and his
Zimbabwean counterpart Robert
Mugabe, the Zimbabwean
President has firmly responded.
Speaking yesterday in a
fundraising in Harare where he
was chief guest, Mugabe said that
Hitler and Trump have everything
in common from blood to
character and that they are
grandfather and grandson.
The furious Zimbabwean President
reiterated that Trump took after
his grandfather Hitler because the
reckless words he utters confirms
the same.
“Recently that madman that wants
to be American President said
he’ll arrest some African
Presidents including my brother
Yoweri and myself and lock us in
his imaginary prison should he
become American President”
“May I state here that that Trump
will never take us anywhere because
we Africans are the strongest and
fearless in the universe. I wish
everyone to Know that I have
nothing to fear and I want to tell the
world that that Hitler’s descendant
(Trump) has taken after him and he
is about to do his worst should the
people of America make a mistake
of electing him” Said President
Mugabe.
“Just like his grandfather Hitler
caused World War II, and he wants
to create World War III so as to
leave behind a legacy but the world
will not allow that. How do you even
start imagining that you are going
to arrest a man like myself? Is that
Trump’s head okay? And, are there
enough doctors in America to check
this man’s psychiatric condition?”
Added Mr. Mugabe furiously
 
THIS IS TRUMP, HAWA JAMAA (MUGABE, MUSEVENI NA VIONGOZI WENGINE WALAFI WA MADARAKA, WASIOHESHIMU DEMOKRASIA) NATAMANI SANA KUWAFUNGA ILA KUFANYA HIVYO NI KUINGILIA SOVEREIGNITY YAO, HAWA JAMAA WAMEGEUZA NCHI KUWA MALI YA FAMILIA ZAO
 

Hivi yule malikia wa uingereza huu sasa ni mwaka wa ngapi anaongoza,?
 
Women they think that handling periods is a big thing.They should know that to hide an erect penis in public is a real struggle.-
By Robert mugabe. Hiki kichwa huwa kinanishangaza kila kukicha.

Siku zote legacy ya mtu itapimwa kwa mchango wake au utawala wake ulivyowasaidia watu wake na siyo misemo au nahau. Wazimbabwe watamkumbuka huyu mzee kwa jinsi alivyofanya maisha yao kuwa machungu kupindukia.
 
What is your point? Waafrika tuna tatizo la kukandamizana na kuuwana ili tu kikundi cha watu wachache kibaki madarakani indefinitely . So mleta uzi yuko very right, hivi Unasababisha mateso yasiyo na kipimo kwa raia wako kisa tuu ubaki madarakani? Viongozi wa Africa kazi yao kulindana tuu huku raia wanateseka. Angalia kinachiendelea Burundi, AU wanaangalia tuu.
 
Umemaliza mkuu, huu pia ndiyo msimamo wangu kuhusu viongozi wa Africa.
 
Huyu trump akishinda ataleta vita ya tatu ya dunua. Hafai ata kidogo ..ana li roho li baya sana . kanikera sana kuhusu kauli yake dhidi ya waislamu
Mkuu, Trump ni binadamu fresh sana yule,rhetorics zake za kisiasi zisikutishe ana matani sana, mtu wa kuogopa ni huyu mkimya i.e Obama tuombe Mungu amalize muhula wake kabla yeye na ma neocon hawajatuingiza katika vita ya III ya Dunia matajiri wa viwanda vya silaha,Bankers na ushawishi wa Wamerikani wenye asili ya kiyahudi group hilo ndilo linamwendesha puta Obama na kwa kuwa yeye ni masikini wanamchezea sana, lakini mtu kama Trump mwenye pesa yake hawawezi kumwingia na yeye anasema hivyo kila siku,kwamba hawezi kununuliwatna mtu - is right.

Mtu wa pili wa kuogopwa ni H. Clinton huyu mama ni tishio kubwa kwa amani ya Dunia anaweza kushawishika kirahisi kuanzisha vita ya tatu ya Dunia - binafsi watu hao wawili ndio nawaona ndio tishio kubwa lakini sio Trump.
 
nyie ndio wale waafrika mnaowalaumu wazungu kwa matatizo yenu, wazungu wamekaa kwao nyie badala ya kufanya kazi mnawalaumu tu, watu wa type yako ni ngumu sana kupiga hatua
 
Hivi yule malikia wa uingereza huu sasa ni mwaka wa ngapi anaongoza,?
yule malaika hata atawale miaka mia hana nguvu, mwenye nguvu ni waziri mkuu, na huwa wanaondoka madarakani baada ya mihula miwili
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…