Akamkamate Mzungu mwenzie malkia wa uingereza .Amekuweko madarakani toka mwaka 1952.Sasa hivi katawala uingereza miaka 64.Na kiumri ana miaka 90.Huyo malikia ni baby? Hadi ashupalie Mugabe na Museveni?
Na awakamate akina BUSH na akina CLINTON kwa kufanya uraisi wa marekani na siasa zake kama vitu vya ukoo vya kurithishana.
.Hivi ni kweli kwa Elimu ya MEMKWA uliyonayo umeshindwa hata kujuwa muundo wa serikali za kifalme? .
Wewe huwa unaandika makala ndefu zisizo naHapa ndipo wasomi koko kama wewe wanapoonyesha kuwa waabudu wazungu.Kama uingereza wana muundo wao wa Malkia kutawala milele na muundo huo unaheshimiwa na Marekani,Kwa nini Uganda au Zimbabwe wasiwe na muundo wao ambao Marekani inabidi iuheshimu kama wanavyoheshimu muundo wa uingereza?
Tukiwa na waswahili waimba nyimbo za wazungu kama wewe hatuji kuendelea waafrika.Wao wana muundo wao hadi wa mashoga wanataka waheshimiwe lakini hawako tayari kuheshimu miindo yetu.LAZIMA UJITAMBUE.
Hawa ni watu wa ajabu mfano Tanzania walitushinikiza kuanzisha mfumo wa vyama vingi wakisema ndio wa kidemokrasia.Wakatishia kuvunja hata mahusiano kama hatutaruhusu huo mfumo.Lakini China haina vyama vingi ina chama kimoja tu lakini mmarekani kaufyata hathubutu hata kunyanyua mdomo kumwambia China weka vyama vingi kwa sababu wachina wanajitambua.Tanzania tuna tatizo la watu kama wewe wasiojitambua.Mtoto wa Kikwete akishika uongozi utasikia ona wanarithishana.Lakini Bush akimrithisha mwanae Bush uongozi mnakenua meno tu hamlaani wala kusema chochote.
Mke wa KIkwete akishika uongozi nongwa.Na wazungu watapiga kelele.Lakini Raisi Clinton akimrithisa mkewe CHEO na kumfanyia kampeni mnakenua meno tu.
Watu kama wewe ni mzigo kwa bara la Afrika.
Anawajua wazungu au unawasikia? utawewaza kwa kipi hasa au ni maneno ya KahawaniTrump ni punga la kupitiliza, kwanza ni mbaguzi sasa masuala ya nchi za Africa yanamhusu nini? Siku marekani ikijidai kwenda kuvuruga nchi hizo mbili ajie Africa nzima itamvamia, wazungu wameshatuchefua kila kona ya nchi zetu wanakaa kuangalia movie tu. Shetani mkubwa na ashindwe.
. malikia ni simble au ceremonial leader... haongozi serikali mkubwa....
this is a serious mental case! I hope America will not dare vote him in.Msaka urais kwa tiketi ya chama cha REPUBLICAN ndugu Donald Trump a.k.a the hummer amesema akiingia white house tu, mambo atakayoyapa kipaumbele ni pamoja na Kuwakamata na kuwatia ndani ma "dictator" Yoeli Mseveni na Robert Mugabe.
"I want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”
Mugabe and Museveni must be put on notice that their days are numbered and that I am going to arrest them and lock them in prison. If the past American administrations have failed to stop these two despots, I will personally do it”
Trump kayasema hayo wakati akiwahutubia wanajeshi wastaafu wa marekani
MY TAKE:
inawezekana trump ndo 666, ni mawazo tu
=============
By Andrew Lieberman, Washington DC | US business mogul Donald Trump has put Zimbabwean President Robert Mugabe and Ugandan President , on notice, vowing to deal with them ruthlessly when he ascends to Presidency.
“I want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”

Mugabe and Museveni have given the world enough troubles and its about time someone puts to an end all these madness for peace to prevail” said Trump who seemed unapologetic.
If Obama fears them, I will never fear them. If clinton and Bush feared them, If the Pope kneels before them, I will never be reduced to that level. I will never be cowed. I promise to clean all the political mess around the world and promote international justice” added Trump. – Uganda News
Source: US: I Will Lock Mugabe, Museveni In Prison – Donald Trump | ZimEye
Mkuu nani anaunda serikali? Nani anateua mawaziri? Kama huna shida na ki english utanielewa ukisoma kipande hiki.....Kazi unayo aliyekwambia ni ceremonial ni nani huyo?
QUEEN ndiye kiongozi wa nchi (HEAD OF STATE)
Miswada yote ya sheria ndiye huwa anasaini kama ambavyo Raisi wetu anafanya BILA KUSAINI YEYE HAUWI SHERIA Angalia kazi zake kwenye website ya ufalme wa uingereza.Wasomi wa UKAWA mnatuangusha.Ndio maana si rahisi kumkuta Profesa mwanachama wa UKAWA labda awe ana matatizo ya akili.
http://www.royal.gov.uk/MonarchUK/HowtheMonarchyworks/theroleofthesovereign.aspx
hapo sijaelewa kidogo,siku zote 7 za wiki isipokuwa jumapili,fafanua vizuri tafadhaliHuyu bwana akishirikiana na papa watatimiza maneno ya unabii yaliyonenwa ktk biblia ikiwemo kushurutisha wakazi wote wa dunia kufanya kazi kwa siku zote 7 za wiki isipokuwa jumapili
Ktk masomo ya unabii kuna jambo linaongelewa kuwa itafika wakati watu wote watalazimishwa kuwa na siku 1 ya ibada ambayo Itakuwa j pili ktk kupambana na Kile wanachokiita uvivu uliofichika ktk muda mwingi wa kuabudu, search ktk mtandao Sunday law (Sheria ya jumapili)hapo sijaelewa kidogo,siku zote 7 za wiki isipokuwa jumapili,fafanua vizuri tafadhali
Babu Mugabe alikwisha wadharau hawa marekani siku nyingi; siku hizi hata hela yao ameidharau kwani Zimbabwe wanatumia YUAN fedha za kiChina!!!
Msaka urais kwa tiketi ya chama cha REPUBLICAN ndugu Donald Trump a.k.a the hummer amesema akiingia white house tu, mambo atakayoyapa kipaumbele ni pamoja na Kuwakamata na kuwatia ndani ma "dictator" Yoeli Mseveni na Robert Mugabe.
"I want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”
Mugabe and Museveni must be put on notice that their days are numbered and that I am going to arrest them and lock them in prison. If the past American administrations have failed to stop these two despots, I will personally do it”
Trump kayasema hayo wakati akiwahutubia wanajeshi wastaafu wa marekani
MY TAKE:
inawezekana trump ndo 666, ni mawazo tu
=============
By Andrew Lieberman, Washington DC | US business mogul Donald Trump has put Zimbabwean President Robert Mugabe and Ugandan President , on notice, vowing to deal with them ruthlessly when he ascends to Presidency.
“I want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”
Mugabe and Museveni must be put on notice that their days are numbered and that I am going to arrest them and lock them in prison. If the past American administrations have failed to stop these two despots, I will personally do it”
Mugabe and Museveni have given the world enough troubles and its about time someone puts to an end all these madness for peace to prevail” said Trump who seemed unapologetic.
If Obama fears them, I will never fear them. If clinton and Bush feared them, If the Pope kneels before them, I will never be reduced to that level. I will never be cowed. I promise to clean all the political mess around the world and promote international justice” added Trump. – Uganda News
Source: US: I Will Lock Mugabe, Museveni In Prison – Donald Trump | ZimEye
Naweza pata link la hicho alichosema from reliable source kama , web ya gazet au TV au video clip ikibidi. Maana imefika wakati kila mtu anatunga stori kuhusu Trump tunapotezeana tu muda wa kusomaMsaka urais kwa tiketi ya chama cha REPUBLICAN ndugu Donald Trump a.k.a the hummer amesema akiingia white house tu, mambo atakayoyapa kipaumbele ni pamoja na Kuwakamata na kuwatia ndani ma "dictator" Yoeli Mseveni na Robert Mugabe.
"I want to reiterate here before America’s greatest heroes that I will not condone any dictatorial tendencies exhibited by dictators around the world especially the two old men from Zimbabwe and Uganda”
Mugabe and Museveni must be put on notice that their days are numbered and that I am going to arrest them and lock them in prison. If the past American administrations have failed to stop these two despots, I will personally do it”
Trump kayasema hayo wakati akiwahutubia wanajeshi wastaafu wa marekani
MY TAKE:
inawezekana trump ndo 666, ni mawazo tu
Source: Fox News
Alishapigwa ban mbonaNgoja Mugabe aje kujibu nasikia ana id humu
Halafu mangi hiyo mbege unanywea wapi aisee!dunia inabadilika kazi hakuna ni mashine na marobot ndio zinafanya kazi, kweli mangi haujui hilo sasa itakuajeKtk masomo ya unabii kuna jambo linaongelewa kuwa itafika wakati watu wote watalazimishwa kuwa na siku 1 ya ibada ambayo Itakuwa j pili ktk kupambana na Kile wanachokiita uvivu uliofichika ktk muda mwingi wa kuabudu, search ktk mtandao Sunday law (Sheria ya jumapili)