1120ulimwengu
JF-Expert Member
- May 23, 2013
- 252
- 422
Hiki ndicho alichokisema kuhusu vita ya Ukraine
1. Serikali ya Marekani haikutakiwa kusema kwamba Kiev (Ukraine) itajiunga NATO
2. Biden alivunja makubaliano kati ya Marekani na Urusi kuhusu ni kwa kiasi gani jeshi la Marekani lingejitanua
3. "Moscow imekuwa ikisema mara kwa mara, hata kabla ya Rais Vladimir Putin kuchukua madaraka, kwamba haitaki kuona NATO ikikuwepo Ukraine," Trump alieleza, akiongeza kwamba "hilo limeandikwa kwenye jiwe." Hata hivyo, Biden alisisitiza kwamba "wanapaswa kuwa na uwezo wa kujiunga na NATO," aliongeza.
4. Rais huyo mteule pia alisema kwamba “anaweza kuelewa” jinsi Russia inavyohisi kuhusu kuwa na bloc ya kijeshi ya kigeni “hapo mlangoni mwao.”
5. "Niliposikia jinsi Biden anavyofanya mazungumzo, nilisema: 'Hapa lazima kuwe na vita ,' na ikageuka kuwa vita mbaya sana"