Ila makampuni yanaseme kwamba wanahitaji pretty signifacant preparation and changes kurudu venezuela kwa mara ya tatu, sio rahisi kihivyo zile kampuni zinahitaji security guarantee hata baada ya trump ili kuwekeza pesa zao, zile sio kampuni kama SGM au Vodacom zina long term vision.Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta.
Alisema Venezuera sasa ni mshirika na jana mapipa ya mafuta yalisafirishwa Marekani. Wakuu wa makampuni walieleza mikakati yao ya kurudi venezuera na amesema atawekeza 100b usd.
Makampuni ya mafuta yatawajibika kwa USA na sio Venezuera na pia kawaambia kama Urusi na China wanataka mafuta ya Venezuera waende kununua USA.
Kamuonya Raisi akienda tofauti atashambulia tena pia ataweka ulinzi wake kwenye makampuni ya mafuta.
Huu ni ubepari uliopitiliza.
Trump ni mnyama, nawashangaa wanaomshabikia.Nilikuwa naangalia kikao cha Trump live akiwa White house kupitia Aljazeera, Trump alikuwa na makamu, waziri wa mambo za nje, waziri wa nishati pia aliwaalika wakuu wa makampuni makubwa ya mafuta.
Alisema Venezuera sasa ni mshirika na jana mapipa ya mafuta yalisafirishwa Marekani. Wakuu wa makampuni walieleza mikakati yao ya kurudi venezuera na amesema atawekeza 100b usd.
Makampuni ya mafuta yatawajibika kwa USA na sio Venezuera na pia kawaambia kama Urusi na China wanataka mafuta ya Venezuera waende kununua USA.
Kamuonya Raisi akienda tofauti atashambulia tena pia ataweka ulinzi wake kwenye makampuni ya mafuta.
Huu ni ubepari uliopitiliza.
Heri huyu mnyama kuliko mshirika mchina au mrusi anayesapoti majitu yanayopora uchaguzi na kuua raia ,na raia wasifaidike na rasilimali wakipambana kuuza sumu ya Panya na kupewa cheo cha afisa usafirishajiTrump ni mnyama, nawashangaa wanaomshabikia.