FRANC THE GREAT
JF-Expert Member
- May 27, 2016
- 5,500
- 8,067
Uzuri wenzetu wanaelewa wanachofanya, angekua jiwe hapo sawa!!Trump became the first sitting US president to visit North Korea as part of his attempts to improve relations with the pariah state and resolve a long-time nuclear crisis.
Trump managed to establish friendly ties with the North Korean leader in what the media dubbed a bromance.
Kuna jambo Lina kuja tena zito kweli kweliHahaha waliodhani kua n. Korea atatia mguu kwenye huu mgogoro nadhani wameanza kupata jibu
Huo ni uchuro tu.
Kiduku mwenyewe hata siku yake ya kuzaliwa haikumbuki.
Kama Kim ndo angetuma hizo salamu kwa POTUS ndiyo ingekuwa habari.