MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Hahahahaa mkuu iko njema sana hii
CC: Masunga Jr. , MK254 , kui , Nyani Ngabu , Dotworld , SHIEKA , Elungata , Bukyanagandi , mchambawima1 , Koba , Gamba la Nyoka , Ritz , Upiversity , kahtaan , Paulo Sergio De Souz , Kaboom , mshana jr , MziziMkavu

Dogo kala shavu US now
mnaMNAnga mzee wa watu ngoja awe raisi mtampenda tuuYani hadi noma.
watu mna maneno....
Hahahaaaaaa!, Noah's so funny!
The comparison he did between Trump and some African Presidents is somehow real 🙂
"Trump is the best President who happens to be running in the wrong continent"...lol!
Hehehe!! Mbavu zangu, duh! Afrika yetu hii balaa.... yaani jamaa anamlinganisha na marais wetu neno kwa neno. Haya bwana mimi ntakua tayari kusheherekea ushindi wa rais Mwafrika damu huko Marekani, maana kwa mwendo huu naona atashinda tu.