Webabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2010
- 8,870
- 14,258
Rais wa Ukraine ndugu Zelensky katika taarifa zake za leo kwa njia ya mtandao amesema eneo la Donbas litarudi kuwa Ukraine kwa mara nyengine. Hii ina maana eneo hilo ambalo ni muunganiko wa mikoa miwili ya mashariki ya Ukraine limeshaangukia mikononi mwa Urusi baada ya mapigano makali ya wiki kadhaa sasa.