Ukiitafakari hii vita muda flani ni kama maigizo!Si jana tu ametoka kusema Ukraine inabid ikubaliane na ukweli na kukaa meza moja na Russia?
Halafu kajamaa kananenepa kweli badala ya kukonda tokea vita ianze!Sasa ulitarajia nini kutoka kwa Zelensky!! maneno yote amemaliza