off-sir
Member
- Dec 21, 2019
- 65
- 56
Msanii Kanye West kupitia mtandao wake wa Instagram amepost picha ya nyumba yao ya zamani alikuwa akiishi pindi akiwa mdogo
Na tukumbushane tu kuwa nyumba hii ndio ile ambayo aliinunua mwaka jana 24 April kwa Dollar za kimarekani ($225,000) kwa mujibu wa kanye west mwenyewe anasema nyumba hii ilikuwa ya kwao kwenye miaka ya 1980 - 2004 ila Bi mkubwa ndiye aliiuza "Donda West"
Na story nyingine nyingi zilipita hapo kati ikiwemo hii project yake ya sasa donda alitaka kufanyia hapo, lakini haikuwa hivyo tusubirie Listen party ya Donda kwa mara ya Tatu.