Sildenafil Citrate
JF-Expert Member
- Jan 29, 2021
- 577
- 2,595
Mlo wa mchana huuongezea mwili nishati ya kuendelea kujiendesha kwa ufanisi mkubwa pasipo kukwama.
Ni msaada wa kipekee unaousukuma mwili katika kuendesha mifumo yake pamoja na kustahimili masaa ya mchana unapokuwa ofisini au nyumbani ukitelekeza majukumu yako.
Mpangilio wa sahani yako unapaswa kujali uwepo wa virutubisho muhimu kwa afya. Ili kurahisha mgawanyiko huu, unashauriwa kutenga

- Nusu ya sahani iwe na mboga za majani na matunda.
- Nusu nyingine inayobaki iwe na mchanganyiko wa vyakula vilivyotengenezwa kwa nafaka zisizo kobolewa pamoja na protini.