Reez Madgan Member Joined Oct 9, 2018 Posts 5 Reaction score 1 Oct 9, 2018 #1 Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali wakuu popote mlipo jitokezeni
Wanadau kwa yoyote mwenye dondoo juu ya hasa ni lini selection za round ya tatu zinatoka tupeane update kupitia uzi huu. Maana siku zinasonga kwa kasi halafu wengi hatujui hatma yetu. Tafadhali wakuu popote mlipo jitokezeni