Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

Shukran mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mdogo anga kamaliza kozi ya ubibi afya ngazi ya diploma na amepata GPA 5.0 je anaweza pata scholarship?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro na mimi naeza kukucheki wasap?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I will I must, thank you

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ili upate scholarship uwe na sifa gani

Tokomeza Ujinga jenga utambuzi.
 
Ili upate scholarship uwe na sifa gani

Tokomeza Ujinga jenga utambuzi.
Swali lako Ni pana Sana
Jaribu kua specific kidogo kwa upande upi masters, PhD au undergraduate
 
Mfumo wa Cambridge na Edexcel UK unamruhusu mwanafunzi kusoma kwa combination kuanzia kidato cha kwanza na anaweza kufanya mtihani wake wa kidato cha nne katika masomo aliyoyachagua kwenye combination yake hiyo

Mfano wa combinations anazoweza kusoma mwanafunzi wa O-Level ni PCB, PCM, PGM, EGM, HGE, ECA na nyinginezo nyingi kutokana na idadi anayotaka mwanafunzi mwenyewe

Ni mfumo unaompunguzia mzigo mkubwa wa masomo mwanafunzi badala ya mwanafunzi kusoma masomo 9 au zaidi kwa ngazi ya O-Level mfumo huu unamruhusu kusoma hata masomo matatu, ni maamuzi ya mwanafunzi mwenyewe

Kadri masomo yanapokuwa machache basi pia hufanya mwanafunzi aweze kuelewa na hata kufaulu

Kwa ufafanuzi au maswali tafadhali wasiliana nasi kwa 0655216416/0756343838

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kimya wanajamvi, nataka kuapply masters na scholarship abroad, naomba a person who can help in each step, nitamfikiria.
Bachelor nina Upper Second.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuomba scholarship ni mchakato sio swala la wiki ama mwezi kama uko serious anza sasa kufikia 2021 mwezi wa 6 utakuwa na mwelekeo mzuri

Andaa motivation letter, heath form hapa unapaswa kupimwa na kuanza kinga ya hepatitis A & C
Fanya TOEFL/ Test
Andaa reference letter 2
Andaa Concept Note
Scan document ya vyet vyako
Kuwa na international passport
Scan passport photo
Ukimaliza unaweza kuanza kuapply na kuboresha documents zako kuendana na uhitaji na muda

Kama umewahi kuomba scholarship siku za nyuma ukakosa ni vizuri kwani utakua na uzoefu wa kujibu maswali na unajua exactly nini unataka kusomea unaweza kuwa na GPA kubwa lakini usipate sababu ya poor motivation and research study area
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…