Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Lazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili.
Sasa kama wewe ni mmojawapo twende pamoja.
Hakikisha una sabuni ya kuogea.
Pitisha maji na sabuni usoni na unawe vizuri.
Pitisha maji na sabuni kwenye sehemu zote za mikunjo yani shingo, makwapa yote chini ya maziwa/matiti yote, kitovuni na sehemu ya chini yake.
Kausha maji mwilini kwa taulo au kitambaa laini.