Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 3,840
- 6,844
Hii inafaa Kwa watu wanene kweli???? MmhLazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili.
Sasa kama wewe ni mmojawapo twende pamoja.
Hakikisha una sabuni ya kuogea.
Pitisha maji na sabuni usoni na unawe vizuri.
Pitisha maji na sabuni kwenye sehemu zote za mikunjo yani shingo, makwapa yote chini ya maziwa/matiti yote, kitovuni na sehemu ya chini yake.
Kausha maji mwilini kwa taulo au kitambaa laini.
ndio mkuu formula ndo iyoiyoHii inafaa Kwa watu wanene kweli???? Mmh
Mmmh hapana Kwa wanene wanamambo mengi utafanya wanukendio mkuu formula ndo iyoiyo
🤣kwani wanene wana uso au mikunjo ya tofauti auMmmh hapana Kwa wanene wanamambo mengi utafanya wanuke
Zile pingili zao za mikonon tumbon na mapajan zinahitaj maji lasvo jasho zimejaa mule harufu[emoji1787]kwani wanene wana uso au mikunjo ya tofauti au
Tukiwa shule kuna jamaa alikuwa anakata wiki bila kuoga!Siku akioga bweni zima linajua Yuko kuoga, alikuwa na msemo kwamba katoka kupiga povu!Lazima tukubaliane maji sio ya kila mtu. Kuna watu hawapendi tu kuwa karibu na maji achilia mbali kuyatia mwili.