Elisha Chuma
JF-Expert Member
- Jul 22, 2013
- 282
- 275
*Dondoo ya leo*
*Katika biashara kuna mafanikio ya aina mbili, mafanikio yanayoonekana na yale yasiyoonekana,kama mfanyabiashara au mjasiriamali zingatia sana mafanikio yasiyoonekana sababu mafanikio yanayoonekana yanatokana na ukomavu wa mafaniykio yasiyoonekana*
Elisha Chuma
12/8/2016.
Karne ya 21 ishi kisasa,biashara zote zinahamia kwenye mtandao wekeza sana kwenye mtandao biashara yako iwe ni huduma au bidhaa na matokeo yake utaona.
1.tambua aina ya wateja wako
2.usitangaze vitu vingi kwa pamoja
3.toa suluhisho usitoe faida
4.Onyesha weledi kwenye unachokitangaza
5.Usichoke kujitangaza.
Elisha Chuma
9/8/2016.
Biashara sio kuhusu wewe ni kuhusu wateja wako usifanye kitu kwa ajili ya kujiridhisha wewe fanya kwa ajili ya kumridhisha mteja wako.
*Dondoo ya leo*
*Katika biashara kuna mafanikio ya aina mbili, mafanikio yanayoonekana na yale yasiyoonekana,kama mfanyabiashara au mjasiriamali zingatia sana mafanikio yasiyoonekana sababu mafanikio yanayoonekana yanatokana na ukomavu wa mafanikio yasiyoonekana*