Donge nono kutolewa kwa atakaenisaidia kuhamia Dar kikazi- Mwalimu

emkey

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2011
Posts
728
Reaction score
137
Habari wadau, mi ni mwalimu wa msingi wilaya ya kilwa, naomba anayeweza kunifanyia mpango nikahama kutoka huku na kuhamia shule yoyote dsm jijini dsm anijuze, kama waweza tubadilishane au nifanyie mpango tamisemi.

Ntakupa shs 500,000.

0714-408238.
 
ongeza kama million na nusu nikusaidie haraka uje mjini dar es salaam kwa laki tano sidhani kama nitaweza kukusaidia
 
hata mimi naweza kukutoa huko ulipo na nikakutua jijini dar iwe tmk, ilala au kinondoni, tatizo dau lako lipo chini sana!
 
hata mimi naweza kukutoa huko ulipo na nikakutua jijini dar iwe tmk, ilala au kinondoni, tatizo dau lako lipo chini sana!

Mkuu Mfuga kuku kumbe hata wewe umeliona tatzo, aongeze dau tu tumsaidie kumtua hapa jijini!
 
poa, naongeza dau, nicheki kwa namba yangu hapo juu.
 
Hahahahahah jamani msaidieni si mnajua kipato na maisha ya walimu ni tabu?
 
Laki tano kaisevu kwa miezi 3.ni dau kubwa
 
pananuka harufu ya rushwa na mtu kuibiwa.kuweni makini sana. Halafu mbona watu wanatafuta kuibiwa wenyewe kunanini wewe MWL? hatakama nimsaada hatuombei hapa.
 
Hilo ni donge nono au pesa ya vocha tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…