Ww ni hasara kwa taifa na watu kama nyie mnajifanya shingo ngumu kulazimisha jambo huku Dunia inawaacha nchi kama Tanzania watu wake kutojua kiingereza hasara ni nyingi kuliko faidaHapo aibu ni nini? Mtz kutokujua Kingereza ni aibu ila mkenya kutojua Kiswahili sio aibu? Wakati huo huo mnaona sifa kutojua lugha za makabila yenu huku mkenya/mnigeria aliyezaliwa New York anajua kilugha chake na anatumia majina yao ya asili. Wabongo inferiority complex inawasumbua sana, mkenya hata akijamba mnasifia.
Ww ni hasara kwa taifa na watu kama nyie mnajifanya shingo ngumu kulazimisha jambo huku Dunia inawaacha nchi kama Tanzania watu wake kutojua kiingereza hasara ni nyingi kuliko faida
Mamikataba mnayoingia Ipo kwa lugha ya kiingereza na hamjui hata tafsiri zake,
Makesi mengi huko nje yanaendeshwa kwa lugha ya kiingereza hawajui hata jinsi ya kujenga hoja kwa hio lugha
All international activities zinafanywa kwa lugha ya kiingereza watu mnabaki mnalundamana ndani humu huku fursa zikiwaacha huko nje
Vijana wengi wanje wamejiajiri online kwa sababu tu WANAJUA lugha ya kiingereza
Ww unabaki na kilugha chako Cha kiswahili kinakusaidia nn?
Sijajua kama mmeelewana.Wote mna mambo mazuri tu Ila kuyaweka kiufahamu zaidi ndiyo milimo.Ww ni hasara kwa taifa na watu kama nyie mnajifanya shingo ngumu kulazimisha jambo huku Dunia inawaacha nchi kama Tanzania watu wake kutojua kiingereza hasara ni nyingi kuliko faida
Mamikataba mnayoingia Ipo kwa lugha ya kiingereza na hamjui hata tafsiri zake,
Makesi mengi huko nje yanaendeshwa kwa lugha ya kiingereza hawajui hata jinsi ya kujenga hoja kwa hio lugha
All international activities zinafanywa kwa lugha ya kiingereza watu mnabaki mnalundamana ndani humu huku fursa zikiwaacha huko nje
Vijana wengi wanje wamejiajiri online kwa sababu tu WANAJUA lugha ya kiingereza
Ww unabaki na kilugha chako Cha kiswahili kinakusaidia nn?
Hivi pwani ya Kenya wanakiswahili kibaya? Hivi Karagwe na Makete wanakiswahili kizuri? Halikuwa jambo jema kwa yeye kusema hivyo kwani hata hapa Tanzania wapo wananchi wasiokijua kiswahili, hili halina ubishi.Nanukuu "wakenya mnakiswahili kibaya inatakiwa mpewe darasa la kiswahili"- Samia s. Hassan
"Sisi ndio tunakiswahili kibaya ila tunawajibu kwa kiswahili kibaya na watanzania mnatujibu kwa kiingereza kibaya[emoji23][emoji23][emoji23]"- mzungumzaji wa Kenya baada tu ya Samia kumaliza hotuba yake kwenye mkutano wa JUKWAA LA MIFUMO YA CHAKULA