Donny Van Der beekkiungo fundi asiyeimbwa ulaya yote lakini waholanzi wanamheshimu

Donny Van Der beekkiungo fundi asiyeimbwa ulaya yote lakini waholanzi wanamheshimu

marcoveratti

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2017
Posts
1,019
Reaction score
1,824
KINGO SR

KAMWENE...

Ukipitia historia utakumbuka kuwa waholanzi walianza kutawala vichwa vya habari tangu Karne ya 14 huko katika masuala mbalimbali..tangu enzi za akina Jan van Riebeck katika ile miaka ya 1652-1975 wakati walivyoweka makazi Yao ya kudumu kusini mwa Africa , na miaka ya 1802- 1802 kwa awamu ya pili Tena ....wanahistoria wanasema Dutch settlement at the cape.

Kisoka pia kizazi Cha waholanzi kimekuwa kikionekana Bora Kila Karne kutokana na kuwa na mikakati mizuri ya akademi zao za soka ambazo zimekuwa zikitoa wachezaji mahiri kadri miaka inavyozid kwenda....vipo vizazi vingi vilipita ambavyo nikivitaja sitamaliza hapa , Lakini kizazi Cha Karne ya Sasa ambayo tunaianza 2020 hiki Ni kizazi Cha aina yake.

Licha ya kuwa wapo vijana wengi Kama akina Van Djik, De jong, Depay, Wijnaldum, De light na wengine wengi ...Kuna kijana mmoja ulaya ya huku kwetu magharibi imemsahau ,wa kuitwa DONNY VAN DER BEEK.

Kijana Ni fundi mmoja ambaye kazaliwa miaka ya 1997 tar 18 April ...bado mbichi Lakini mambo yake Ni ya sayari ya Pluto huko.

Der Beek anacheza kiungo ya Kati akioffer zaidi kucheza Kama kiungo mkabaji ,, na shughuli yake huwa si ya kitoto ....Lakini pia Ni kiungo anaecheza Kama box to box Midfilder ..Kuna wakati utamuona akicheza tackling na kuwin duels Lakini at moment utamkuta akicheza bonge la shuti katika Rebounce balls au second balls

Huwa mnasema Kevin De Bruyne akiwa mwekundu kinatokea Nini???[emoji1787][emoji1787]Huyu mtoto ni Kama albino ...Sasa Huyu akiwa mwekundu amini nakwambia huwa mpaka damu unaiona inatoka...ana passion ya mchezo ...anajituma ,, anapenda kufanya vitu kwa malengo...jicho lake la tatu katika kupiga passi Basi apo ndipo utasema Ulaya ile yetu haijamuona ..pengine angekuja tungesahau hata pasi za kdb...

Unakumbuka chuma dhidi ya Juventus [emoji1544][emoji1544][emoji1544]unakumbuka chuma ile dhidi ya Totenham katika UCL [emoji1544][emoji1544][emoji1544]Huyu mtoto ana nguvu za MIGUU bhna acha....anapenda Sana kupiga mashuti hachoki...sio Kama new LAMPARD wa pale kwenye daraja la mkapa ...Kapiga mashuti game tatu tu MIGUU imechoka ...hana maajabu tena [emoji1787][emoji1787].

Uholanzi wanamfananisha na mkongwe wao Davy Klaassen ambaye baada ya kwenda Uingereza dogo janja ndiye alichukua nafasi yake.

Nasikia Madrid wanamtaka ...sijajua atacheza wapi Lakini licha ya kuwa ni namba sita mzuri ila kwenye Pivotal huwa anaoffer Kama attacking kwani huwa Ni linkup mzur akicheza katikati kwasababu ana uwezo wa kukaa na Mpira na pia ana miondoko mizuri hasa ukizingatia kimo chake Cha futi 6 kinamlipa kabißa kucheza ulaya yetu.

Lakini Basi tu[emoji1787][emoji1787]Mbona pale kwa GGMU hakuna kiungo Kama yeye ?? Au ndo kisa Bruno?? Anyway Der BEEK karibu ulaya yetu ila kuwa makini maana mwenzako De light anafananishwa na Jones huko anataka kusepa zake ...



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom