mimiamadiwenani
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 5,718
- 7,784
Uzima upo? Majukumu yenu yanasemaje?
Sijui ni mlemavu, nitakuwa nipo tofauti au nina tatizo kutokana na maoni ya watu humu ndani.
Mimi siamini kwenye kupenda kusifiwa sifiwa, au kwenye kufanya jambo ili nisifiwe sifiwe.
Naamini wanaume tuliumbwa na Mungu tofauti, hatufanani.
Maumbile ni tofauti pia. Huwezi kufosi mwanaume mwenye uume wa inchi 7+ ashuke chumvini na kuanza kulamba lamba uchi.
Una inchi 4-, ni halali kuwa 'lamba lamba'.
Fanya vyovyote utakavyoweza, tumia ufundi wote wa dunia hii, KAMWE binadamu yeyote HUWEZI kumridhisha. Ni ubatili na kujilisha upepo tu. This is especially true for your woman.
Kwa hiyo mwanamke anapokuambia umemuweza basi unacheeeeka mwenyewe.! Don't be fooled! Kuwa jasusi.
Usikubali sifa kirahisi rahisi kutoka kwa mwanamke. Fanya sex kwa uwezo wako, kojoa pumzika. Kwa makadirio ya kawaida yasiyo rasmi, dk 10 zinatosha mwanamke kuridhika(si kukojoa, kuridhika).
1. Huwa sizami chumvini na sikumbuki ni lini nimewahi kuzama chumvini. Siamini kwenye ngono ya mdomo, ni hatari kwa afya. Pia sipendi kunyonywa uume.
2. Nikifanya sana ni round 2. Hapo nikiwa nimefurahi sana. Nina uwezo wa kuendelea ila sioni faida yake. I reserve my sperms and energy. Mostly ni round 1, wastani wa 15+. Nikimaliza hata uume ukisimama tena, siendelei. That's my slogan.
3. Siamini kwenye kusifiwa. Ingawa mara nyingi ni kweli nastahili sifa, ila zinapita sikio hili na ni kutokea sikio lingine. I don't give a shit!
4. Huwa natongoza very locally
Mara kadhaa nimekula 'chaga' ila pia mara nyingi nimewala sana. Sina makuu kwenye kutongoza. Hata kama ni slay, mimi mikato zangu ni local, zile za kishamba. Na akinikataa mara 1 huwa sirudii TENA. Mara kadhaa wengine wanajigonga ila nawaona kama takataka, nawapotezea mazima. No chance.
5. Situmii kilevi chochote unachokijua wewe.
6. Sina urafiki na 'simps'
Kwenye circle yangu nikijua wewe ni nice guy au simp, nakupunguza chap! Siwakubali simps at all.
7. Mimi ni entertainer wa mfumo dume kiasili. Ila ni tofauti kidogo. Naamini kwenye mke kuinufaisha familia kupitia kazi yake. Kama kazi ya mke hainufaishi familia, ni SHARTI aache mara moja, akae nyumbani.
8. Naamini kwenye hili: changu ni changu, cha mke ni chetu. Msinione wa ajabu, nina maana yangu njema tu. Itategemea na yeye yupoje. Kama ni jeuri, mtaratibu au la!
9. Sijui kubembeleza, sipo romantic sana, nina komwe, sijui kuvaa. Na still najikubali hatari.
10. Akili yangu naijua mwenyewe.