B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,805 Jun 1, 2020 #1 Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma hatari. Kaeni tu kutukana hapa maisha ndo haya haya
Harmonize miaka 4 nyuma alikuwa anauza maji sasa anawafanya kazi wasomi kama Dr. Jembe na mjerumani na choppa na domo, miaka 10 nyuma huko alikuwa anaokota machupa sasa anawafanya kazi waliosoma hatari. Kaeni tu kutukana hapa maisha ndo haya haya
Chabrosy JF-Expert Member Joined Feb 12, 2018 Posts 2,632 Reaction score 3,150 Jun 1, 2020 #2 Aya sawa amshukuru Dimond 121.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jun 1, 2020 #3 Na wewe je