Weka picha ya hyo Qummer yako iliyopelekewa moto tuthaminishe kama hii habari sio chai
Bila hivyo huu uzi ni batili na umekiuka vigezo vya jamiiforums kama unakumbuka kifungu cha 2(a) katika regulations and policies kinachoelezea umuhimu wa kuweka picha ili kuthibitisha habari yako
Ni hayo tu mengine wataelezea moderator wenzangu humu ndani nikirud nikute picha ya hyo sambusa la sivyo nitakupiga ban