Don’t Give Up. It takes time to build Side Hustle Online [emoji383]. Sababu hizi Hapa.

GLOBAL CITIZEN

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Posts
767
Reaction score
1,657



Greetings!

I trust you are good today.

Leo nataka nizungumzie upande wa pili wa shilingi kuhusu jinsi unavyoanza side hustle, changamoto zakutegemea kukutana nazo na mwisho jinsi gani unaweza kuzivuka na kuanza kutengeneza some real cash [emoji383]

Jambo la kwanza kabisa kama Online Business unapaswa utambue everything takes time.

Kwa mfano inachukua si chini ya wiki 4 ili mtu yeyote aweze ku-form new habit.

Hapo maana yake, na naomba nitumie mfano kabisa.

Kabla sijaweza ku-form new habit ya kuandika, ilikuwa shida sana kuandika hata post moja ya maneno 500 kwa siku.

Nilifahamu ninahitaji niunde habit mpya ya uandishi ili nifanye kazi yangu kama blogger vizuri.

Lakini baada ya kufanya uchunguzi na majaribio nilifanikiwa.

How did I do it?

Nilijiwekea challenge yakuandika post 3 kila siku kuhusu topic yoyote inayonipendeza.

Trust me, baada ya three weeks imekuja kuwa addictive kwangu.

Sasa hivi i can write 7 - 10 posts za maneno 700 a day.

Pia hii imenifanya niwe mdadisi na kuendelea kufanya majaribio ya mbinu tofauti zakutengeneza pesa katika eneo langu la Digital Marketing.

Point hapo yakujifunza ni kwamba, kila kitu kizuri kinachukua muda ili ukizoee na kukielewa kwa undani wake.

Don’t quit.

Keep going.

Kwa haraka ngoja nikuonyeshe kitu.

Na nitakuonyesha jinsi kilivyo na maajabu.

Yep.

Hii ni...

The Power of Compounding Effect.

Think this way.

Iwapo utakuwa unatumia 1% ya muda wako kwenye Online Business basi ndani ya miezi 12 utakuwa ume-improve kwa 3800%

Unafahamu hiyo ni nini?

Hiyo ni very big improvement.

Na Siri yote ipo hapo.

Lakini kwasababu fulani watu wengi hawaelewi nguvu ya compounding effect kwahiyo they won’t apply it in their business.

Ili compounding effect ikotee unahitaji consistency.

Yaani kila siku unafanya jambo litakalosaidia kufanikisha the main goal ambayo mwanzoni inaonekana kama huge mountain [emoji903] which is impossible to climb.

Sasa unauliza...

Mbona Sitengenezi Pesa Toka Nianze Online Business na Ni Muda Sasa?

Iwapo unatatizwa na kutoweza kutengeneza pesa au kutopata client online jibu rahisi ni...

You might be doing the wrong things.

Unajua kwanini?

Kwasababu kutengeneza pesa mtandaoni lazima ufuate SPECIFIC procedures ambazo zimekuwa tested kweli zinafanya kazi na kuleta matokea.

Hapa bigginers wengi wanashindwa kuelewa.

Lakini leo nitakusaidia uelewe na uone umuhimu wa kutumia a proved procedures ili uokoe muda.

Let’s start.

1 • Ukianza Online Business inapaswa uwe consistency hasahasa wiki za mwanzo.

Here is the thing.

Mwanzoni ukiwa unaanza ni kama vile hakuna yeyote anayejali unachokifanya hata kama hiyo business inatija kiasi gani.

Unajua kwanini?

Kwasababu clients hawajashawishika kama kweli upo serious na unachokifanya au ni kama wengine tu unaibuka na kupotea.

Keep this in mind.

Ukiwa unaanza jali zaidi consistency bila kufikiria utapa pesa lini.

Kupata pesa itatokea pale tu Business yako itakapokuwa inaongeza value kwa mteja.

Mteja asipoona atanufaika vipi na huduma au bidhaa unazouza hatonunu hata kama umetumia miaka 100 katika Online Business.

Got the point?

2 • Mtandaoni hatuuzi kama ulivyozoea kuuza katika traditional business.

Ndiyo.

Inawezekana wewe ni mjuzi wakuuza katika biashara hizi za physical.

Lakini nikwambie kitu.

Mtandaoni ni tofauti kabisa.

Ili uuze online inabidi ujifunze digital marketing inavyofanya kazi.

Ukijifunza mwenyewe itachukua muda.

Lakini ukijifunza chini ya digital marketer anaye-practice online marketing itakuwa rahisi na utaokoa muda utakaotumia katika kujaribu mbinu ipi inafanya kazi kweli.

3 • Haujifunzi jinsi yakutengeneza Authority ili uaminike kwa potential customers.

Well, hii issue ya Authority na jinsi inavyofanya kazi nimeelezea katika uzi huu.

Lakini acha nifafanue kwa mara nyingine ili wengi wafaidike.

Kwanza kabisa kumbuka online hatuonani kwa sura na hii inaweza sababisha potential customer kukuhofia labda you are not a real business.

Sasa utawezaje kuishinda changamoto hii?

Ili uweze kuishinda changamoto hii inabidi ufuate kanunu za kutengeneza Authority mtandaoni customers wakuamini.

• hakikisha unaufahamu mkubwa katika eneo unalojaribu kupata customers.

• hakikisha unalenga katika kuwapatia potential customers uelewa wa bidhaa au huduma unazotaka wanunue. Kumbuka the more you are forcing people to buy the more wil ignore you. Niamini katika hili.

• endelea kuwahabarisha na kuwafahamisha kuhusu huduma au bidhaa unazopenda watumie bila kusua sua.

Mbinu Hii yakutengeneza Authority itakusaidia sana sana brand yako iwe maarufu na yakuaminika.

Mwisho niseme tu keep going.

Baada ya muda utaelewa ins and outs jinsi pesa inavyotengenezwa na utapa confidence zaidi.

I didnt make my money in first days also.

Lakini baada ya miezi ya kufanya kazi bila kusuasua nikaanza kupata watu walio-Interested na kazi nayofanya na mwisho tunafanya Business.

Ok now let me end here.
 
Hongera sana mkuu nimependa ushauri wako, kuna mambo naomba unielekeze, kwa sababu ni mengi naomba nikufuate p.m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…