josephwaara
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 304
- 639
Wasalaam wanabodi, dhumuni la uzi huu ni kueleza kero yangu kwa watangazaji ea kizazi hiki, kero zipo nyingi ila kwa leo ni haka katabia ka kuchomekea vimaneno vya kiingereza kwenye mazungumzo yao, kauli tajwa hapo juu nmekuwa naisikia mara nyingi hasa wanapomtaka msikilizaji/ mtazamaji asibadili channel. Punde tu naangalia ITV hapa mtangazaji kanambia "don't go no where" tena kwa mbwembwe[emoji854] kwani lazima tuchomekee kiingereza?
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app