Donโ€™t hate what you donโ€™t understand

attacker. Hajawahi mshambulia yoyoye hapa JF bila sababu, siku zote yeye hujibu na kuweka records sawa. Huwa hakurupuki kujibu hata kama ukimshambulia, popote utakapomuona anajibu tambua kashambuliwa. Na huwa si lazima ajibu anaposhambuliwa.
Hongera zake mtu huyo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ilaaaa
Huu uzi huu, mtakapofikia me sipo.
 
๐Ÿ’๐Ÿ’
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Mungu bariki hii forumn
Ndo watu wako waishi peaceful
Wakichoka, walog out na sio lomoni.
 
Jf siku hizi kwa mtazamo wangu naona kumepoa hakuna habari za kindaki ndaki za kuelimisha na kuburudisha!!

Jf now unaweza ukaperuzi majukwaa yote muhimu kwa dk kidogo umeshatoka๐Ÿ˜†
Kipindi cha hapo nyuma unaweza tulia if kutwa nzima kwa hbr moto moto

Hbr kama hii ya kufafanuliana uhusika wa members wa jf ambao wanatumia id fake nayo naona ni uchawa uchawa tu usiokuwa na maaana!!
 
Wewe ambae uko above 50 now, acha makasiriko na @Rabbitus. Hauko msafi kama unavyojimwambafai public. Sikukutuma ufanye harakati za ubazazi, nimekusamehe na kukusitiri for now, but behave sitaki dharau
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ dah! Ila Jf kudadeki kila mmoja kule ndichi amepata funzo lake
 
Ukishajua kwenye maisha kila mtu anacheza mechi zake na hakuna mtu mwenye jukumu la kukufurahisha au kukuelewesha kuhusu movements zake. Utaishi kwa raha sana japo hili sio rahisi kulijua au kulikubali ukiwa bado mtoto maana ni lazma ufikie level flani ya maturity kulitambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ