Exactly 😂Jombaa umeanza na Mshamba ambae ni mwanaume kama decoy ili usifie wanawake tu usiowajua unaodhani kuwa ndio walivyo.
Asee mko vizuri, mbona mimi kila nikihangaika sioni hao viumbe?
Pamoja sana dingilai... haikataiNever
Ukimpata huyu mdogo wangu mfikishie salamu,kuna taarifa zake toka morocco,Dsm.Natuma salamu kwa Mwachiluwi ajitokeze aache kujificha
Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Best yangu jamani nammissNatuma salamu kwa Mwachiluwi ajitokeze aache kujificha
Nilikua nasubiri huu mstari..🤣🤣🤣🤣😜😜😜Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer
Zimeongelewa ID's wanazotumia. Hakuna mahali jinsia zimeongelewa.
I woke up today with gratitude on my mind and heart. Mwaka 2023 uko ukingoni. Napenda kufanya review ya mambo yaliyonigusa katika maisha ya JamiiForums.
The New Year is a new start, so, ready set and go, make it memorable and live your life to the fullest.
Appreciations.
mshamba_hachekwi: (Melophile )
Huyu jamaa hana chuki na mtu, hata akitukanwa hajali, ataendelea ku-socialise tu na huyo mtu. Nimependa sana mtazamo wake wa kutambua hapa ni JF so don't take things too serious. Congrats comrade but kuna ka scandal ulihusishwa, chanzo ni your company next time be more careful as we know mshamba_hachekwi bali anaelekezwa.
Wishing you a very beautiful new year full of joy and happiness. May this one brings you success in every area of your life. Happy New Beginning. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Countrywide: (Eloquent person)
I am so grateful for the listening ear and understanding heart you have provided me throughout our friendship. Your friendship has been a true source of comfort and support in my life and I am so grateful to have you as a friend.
May this new year be in good health, happiness and affection of those around you. Have a happy new year and you obtain all the happiness you crave. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Lenie: (Spirited and happy)
I appreciate your attitude. Uko very calm and peaceful. Your thoughtfulness will always be remembered.
Wishing a Happy New Year, That brings long lasting joy, Happiness and wealth to you. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Depal: (Joie de vivre)
I appreciate your compassion and understanding. If you ever need a friend to listen to, I’ll always be here to return the favor. You are energetic lady , you never go down. Itabidi kuwe na kikao maalum kuhusu marryjane, tumuombe awe royal kwako kama ulivyo royal kwake (jokes).
To tolerate fools more gladly, provided this does not encourage them to take up more of your time. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Dahan: (Affable person)
Beautiful soul, It's hard saying thanks to a person who deserves so much more than mere words. I hope I can repay even a part of the friendship you have given me.
Step into a new year and kick your troubles out of the window. Happy New Year in advance. [emoji3577]
Saint Anne: (Articulate person )
It’s easy to see that life is filled with blessings when you stop to consider them all. But the most beautiful of these blessings is the warmth and love of a good friend. 2024 Pungunza kufatilia umbea, ongeza muda wa maombi. Ndaga fijo[emoji41]
As this year is ending, I wish all the negativity and difficulties also end with this year and 2024 bring success and desired results for you. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Antonnia: (Eunoia person)
True friends help you get up when you're down. Thank you for always being an encouragement and support.
You are hilarious, kind, and generous. I’m so happy and appreciative to have you as a friend.
Be at war with your vices, at peace with your neighbors, and let every New Year find you a better person. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Waylen (Tinsley ): (Buttercup)
Good friends make life better. Thank you for making a great difference in mine. There are so many things my heart wants to say to you, all of which can be summed up in just three words – thanks for everything.
Don’t wait for a new year to change your perspective. Get up and be proactive today! Happy New Year in Advance. [emoji3577]
Cute Wife (lamomy): (Rumourmonger)
Thank you for laughing with me instead of at me, and for being my biggest fan
It is time to forget the past and celebrate a new beginning. Drop the this year into the silent limbo of the past. Let it go, for it was imperfect, and thank God that it can go. Happy New Year in Advance. [emoji3577]
cocastic: (Fun loving person)
I am so thankful for the laughter and good times we have shared together. Your friendship has been a true treasure in my life and I am grateful . Thank you for being such a wonderful friend.
Go ahead make a resolution. It’s not as complicated as pregnancy. Happy New Year in Advance[emoji3577][emoji2]
Apologise
-Kama binadamu natambua kuna wakati naweza kumkose mtu bila kujua, either iwe kwa maandishi yangu hapa JF au hata mtazamo wangu kuhusu baadhi ya mambo. Kwa kuwa siwezi kujua victim ni nani, natumia nafasi hii kuwaomba radhi wote niliona wakwaza kwa maandishi yangu hapa JF.
Advise
Ukitaka kuheshimika, anza wewe kujiheshimu na uwaheshimu wengine.
-Kuna baadhi ya ID's hapa JF ni bendela fata upepo, hawana direction wala msimamo. Hawa watu ni rahisi sana kukuchangamkia halafu wakiona umetofautiana na mtu mwingine ambae wako nae karibu, basi na wao wanakuwa maadui zako. Niwakumbushe tu sio lazima mbaya kwa mwenzako akawa mbaya kwako pia. Msipende ku-share ugonvi kwa Bluetooth.
- Kuna watu wazima sana hapa JF lakini wamejipa kazi za kitoto sana, majungu yao, fitina zao, umbea wao lakini wakiwa public wanajifanya ni malaika, wana busara, wanatoa ushauri mzuri, wao ni ma-divine helpers kumbe deep down ni simba wenye njaa msituni. Most of them ni wapondeaji sana wa watu wengine hasa wanawake.
- Kuna wanawake hapa JF wanaji-portray kama wise and innocent people public, lakini behind the scenes ni fisi wenye njaa kali. Hawa hawapishani na fulsa, kila ID mpya ikingia hapa JF wanaruka nayo. Hawa wako aina mbili:
-Kuna ambao hawakushobokei kabisa public wao wanazama PM direct na hutawaona wanajionyesha public. Hawa ni wepesi sana kuanzisha thread za kuponda wanaume kama malengo yao hayakufikiwa. Maana wana uhakika ni ngumu kwa watu kuunga dots.
-Halafu kundi la pili wao uki-like post zao kwa kicheko basi wanaanza kujisogeza taratibu, ukiwa-quote wanajaa PM na vimaswali vya kuzugia. Hawa wengi wao hawana confidence ya kusema jambo kwa uwazi, maana wanajua watu wataunga dots kwa kuwa walishoboka public.
Forgiveness
Kuna baadhi ya member tulitofautiana kwa mambo madogo madogo tu. Baadhi hawakuwa makini kusoma nilichoandika wakajibu kwa mihemuko, baadhi walifanya kwa makusudi kabisa ili kutimiza malengo flani.
It's not about going around trying to stir up trouble. As long as you're honest and you articulate what you believe to be true, somebody somewhere will become your enemy whether you like it or not.
National Anthem, Intelligent businessman
Surely it is much more generous to forgive and remember, than to forgive and forget. I let it go. [emoji3577]
-Members wote mliokuwa mentioned kipindi kile, hamkuwa na haja ya kujaribu kunishambulia maana mtu aliehusika kutoa taarifa zenu alikuwepo, mimi niliwasaidia kumjua aina ya mtu mnaempa taarifa zenu kuwa ni mnafiki.
-Wewe ambae uko above 50 now, acha makasiriko na Rabbitus. Hauko msafi kama unavyojimwambafai public. Sikukutuma ufanye harakati za ubazazi, nimekusamehe na kukusitiri for now, but behave sitaki dharau.
Rabbitus sio attacker. Hajawahi mshambulia yoyoye hapa JF bila sababu, siku zote yeye hujibu na kuweka records sawa. Huwa hakurupuki kujibu hata kama ukimshambulia, popote utakapomuona anajibu tambua kashambuliwa. Na huwa si lazima ajibu anaposhambuliwa.
Misunderstanding arising from ignorance breeds fear, and fear remains the greatest enemy of peace. [emoji106][emoji3577][emoji120]
Wish you all in advance , happy new year 2024.
Ndagha NkamuI woke up today with gratitude on my mind and heart. Mwaka 2023 uko ukingoni. Napenda kufanya review ya mambo yaliyonigusa katika maisha ya JamiiForums.

Swadaktaaaaaa!!!!! [emoji482][emoji482]Ukishajua kwenye maisha kila mtu anacheza mechi zake na hakuna mtu mwenye jukumu la kukufurahisha au kukuelewesha kuhusu movements zake. Utaishi kwa raha sana japo hili sio rahisi kulijua au kulikubali ukiwa bado mtoto maana ni lazma ufikie level flani ya maturity kulitambua
Mbna mapyaaaa!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Naona wakereketwa wa Mr mang'ombe wanajifichia kwenye kichaka cha comments za wengine..
Wanalike..
Si jitokezeni tu pambana kishujaa,msijifiche kwenye likes [emoji1787][emoji1787]
Mang'ombe ni nani kwanza hapa mjini jf